Skip to main content

Je, ninaruhusiwa kutumia au kuiga chapa ya Outline?

Ingawa Outline ni programu huria na inatumika bila kulipia, chapa yetu inamilikiwa na Jigsaw na haipaswi kutumiwa vibaya. Tafadhali fuata mwongozo wa watumiaji ili uhakikishe unaepuka madai yanayopotosha au kuharibu uhusiano wako na Outline au Jigsaw na unatumia kwa usahihi vipengee vya chapa vilivyoidhinishwa.