Skip to main content

Je, unafuatilia chaneli ya Telegram ya "getoutline.me" na "@OutlineVpnOfficial"?

Timu ya Outline imepokea maswali mengi kuhusu tovuti ya "getoutline.me" na chaneli yake ya Telegram ya "@OutlineVpnOfficial" inayohusiana nayo. Huduma hizi hazihusiani na timu ya Outline na hatuwezi kuwasaidia watumiaji wanaokumbwa na matatizo ya funguo kutoka kwenye huduma hizi.