Je, masharti yapi ya mfumo yanahitajika ili kutekeleza programu ya Outline?
Unakaribishwa kujaribu programu ya Outline kwenye mfumo wowote wa uendeshaji. Ifuatayo ni mifumo ya uendeshaji ya kiwango cha chini zaidi inayohitajika:
| Mfumo wa uendeshaji | Toleo la kiwango cha chini |
|---|---|
| Android | 10 |
| iOS | 15.5 |
| macOS | 12.0 |
| Windows | 10 |
| Linux | Ubuntu 20.04 |
Je, ungependa kusaidia Programu ya Outline ifanye kazi kwenye mifumo mingi ya uendeshaji? Changia mkusanyiko wetu wa chanzo cha misimbo kwenye GitHub!