Skip to main content

Ninaweza kutumia ufunguo zaidi ya mara moja?

Ndiyo. Unaweza kutumia ufunguo wako kwenye idadi yoyote ya vifaa vyako, lakini hatupendekezi utumie ufunguo wako na mtu mwingine. Mtu aliye na ufunguo wako anaweza kukagua shughuli zako zote kwenye intaneti ikiwa anaweza kuzifikia, kwa hivyo matumizi yako ya intaneti hayatakuwa salama au ya faragha tena.